Hit maker wa nyimbo ya Supu Gigy Money aka gigi mipesa ameibua mshike mshike kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuamua kumtolea uvivu msanii mwenzake mwenye sifa ya michano kwa wasanii wenzake hasa jinsi ya uwandishi wa ngoma zake kulenga sana michambo Ney Wamitego Ambaye hivi karibuni amefungiwa ngoma yake na balaza la sanaa BASATA inayo itwa " Pale kati"
Gigy ametokwa na povu zito msikilize Gigy akifungukaaa...
No comments:
Post a Comment