May 12 2016 taarifa za kifo
cha msanii wa filamu za Comedy James Petro Nsemwaambaye
wengi tunamfahamu kwa jina la ‘Kinyambe’ zilianza
kusambaa katika mitandao ya kijamii, kwa baadhi ya watu maarufu na wasanii
kupost picha na kuonesha kuguswa na taarifa za kifo chake.
Ripota wa millardayo.com alifanikiwa
kufika Uyole Mbeya na kukutana na baba mzazi wa marehemu
mzee Petro Lugendelo Nsemwa na kutueleza nini
kimepelekea kifo chaKinyambe ” Marehemu alikuwa anaumwa kwa
kipindi cha miezi nane, alikuwa anasumbuliwa na pafu la upande mmoja lilikuwa
alipumui vizuri”
![]() |
| Baba mzazi wa kinyambe |


No comments:
Post a Comment